Kijana hili sio Kongamano la Kukosa mwaka huu.

Viwawa Jimbo Kuu la Dodoma's photo.

 Tumsifu yes kristo.......
Tunapenda kuwapa taarifa ya kongamano la jimbo kuu La Dodoma litakaalofanyika Veyula kuanzia 2-7/12/2015
Kila kijana atachangia Tshs. 30,000/=,usafili utakuwepo wa kwenda na siku ya kurudi ukiona taarifa hii tafadhli mtaarifu na kijana mwenzio.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment